VIDEO: Diamond baada ya kusikia ada za namba binafsi za magari(Majina) TZ zimepanda
Posted by
Unknown
Wakati Bajeti kuu ya serikali inasomwa Dodoma bungeni juzi ndio ilijulikana kwamba ada ya namba binafsi za magari nchini Tanzania imepandishwa, ni kwa wale ambao wamekua wakiandika majina badala ya namba za mfumo wa kawaida. Mwimbaji wa bongofleva DiamondPlatnumz ni miongoni mwa wenye majina badala ya namba kwenye magari yao, imemdaka ili kupata mtazamo wake.