Monday, June 13, 2016

AUDIO: Ukweli kuhusu hatma ya Salum Telela Yanga

Baada ya headlines za muda mrefu kuhusu kiungo wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans Salum Telela kuhusishwa kuachwa na klabu hiyo, huku mitandao mingine ikiandika kuwa staa huyo kiraka ameachwa, ili kupata ukweli ripota wa millardayo.comilimtafuta mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Yanga Jerry Muro.
“Ni kweli mkataba wa Salum Telela na Yanga umemalizika, hivyo yupo huru kuongea na klbu yoyote nyingine au hata Yanga, ili kuangalia kama kuna uwezekano wa kuongeza ila maamuzi yapo mikoni mwake”


Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta