Showing posts with label KIMATAIFA. Show all posts
Showing posts with label KIMATAIFA. Show all posts

Sunday, October 23, 2016

Kutana na Mwanamke Mnene Kuliko Wote Duniani… Ana Uzito wa Kilo 500

Kwa mujibu wa jarida la Daily Mail, inaelezwa kuwa mwanamke huyo aitwaye Iman Ahmad Abdulati mwenye miaka 36 hajawahi kutoka ndani kwa miaka 25 na amekua akiongezeka uzito wake kwa haraka mpaka kufikia kilo 500 zinazompa shida ya kujifanyia usafi na hata kula. Ripoti ya madaktari inaonesha kuwa mwanamke huyu anasumbuliwa na maambukizi ya bakteria wanaoshambulia ukuaji wa mwili.

Akiwa na miaka 11 alianza kusumbuliwa na tatizo hilo ingawa wazazi wake wanakiri kuwa hawakudhani kuwa ni tatizo lakini siku zilivyozidi kwenda ndipo wakabaini kuwa halikua jambo la kawaida hivyo wakaamua kutafuta wataalamu ambao walitoa ripoti kuwa ana matatizo ya mwili wake kukaa na maji mengi bila kuyatoa nje kitu ambacho sio cha kawaida kwa binadamu.

Sunday, October 16, 2016

Orodha ya Marais 10 Kutoka Nchi za Afrika Wanaoongoza Kwa Kuwa na Kiwango Kikubwa cha Elimu

Orodha ya Marais 10 kutoka nchi za Afrika wanaoongoza kwa kuwa na kiwango kikubwa cha elimu.

10) Ellen Johnson Sirleaf (Liberia)

Elimu: Master of Public Administration (M.P.Adm.), Bachelor of Economics (BEc), Associate Degree in Accounting (A.A.)

Ellen Johnson Sirleaf ni Rais wa 24 wa Liberia ambaye bado yupo madarakani hadi sasa. Amesomea katika vyuo mbalimbali kikiwemo Chuo wa West Africa, Madison Business College. Alijiunga na Taasisi ya Uchumi Boulder, Colorado, mwaka 1970.


9) Faure Gnassingbe (Togo)

Elimu: Master of Business Administration (M.B.A), Bachelor of Business (B.B.A).

Faure Gnassingbe alipata elimu yake ya msingi na sekondari Lome, Shahada ya uchumi kutoka Paris nchini Ufaransa na MBA katika Chuo Kikuu cha George Washington nchini Marekani.



8) Robert Mugabe (Zimbabwe)

Elimu: Master of Laws (LL.M.), Master of Science (M.Sc), Bachelor of Laws (LL.B), Bachelor of Science (B.Sc), Bachelor of Education (B.Ed), Bachelor of Administration (B.A.A), Bachelor of Arts (B.A.)

Robert Mugabe amepata Shahada yake moja kutoka katika chuo cha Fort Hare nchini Zimbabwe. Shahada nyingine alizipata kwa kusoma chuo huria.


7) Ibrahim Boubacar Keïta (Mali)

Elimu: Master of Political Science (M.S.), Master’s degree in History (M.A.)

Ibrahim Boubacar Keita amekuwa Rais wa Mali kuanzia mwaka 2013. Amesoma vyuo mbalimbali Paris nchini Ufaransa, Bamako, Dakar nchini Senegal.



6) Dr. Ameenah Gurib (Mauritius)

Elimu: PhD in Organic Chemistry, Bachelor of Science in Chemistry (B.Sc.)

Dr. Ameenah Gurib-Fakim ni Rais wa Mauritius, amepata Shahada yake ya kwanza ya Chemistry kutoka Chuo Kikuu cha Surrey mwaka 1983 na Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka katika Chuo Kikuu cha Exeter nchini Uingereza.



5) Dr. Mulatu Teshome (Ethiopia)

Elimu: Ph.D. in International Law, Bachelor’s Degree in Philosophy (B.Phil.)

Dr. Malatu Teshome amekuwa Rais wa Ethiopia tangu mwaka 2007. Elimu yake ameipata kutoka nchini China.


4) Alassane Ouattara (Côte d’Ivoire)

Elimu: Ph.D. in Economics, Master of Economics (M.Econ.), Bachelor of Science (B.S.),



3) Dr. Peter Mutharika (Malawi)

Elimu: Doctor of Juridical Science (J.S.D.), Master of Laws (LL.M), Bachelor of Laws (LL.B.),


2) King Mohammed VI (Morocco)

Elimu: Doctor of Law (J.D.),  Master of Advanced Studies (M.A.S.), Bachelor of Laws (LL.B.)



1) Dr. Thomas Boni Yayi (Benin)

Elimu: PhD in Economics and Political, Master of Economics (M.Econ.)

Thursday, October 13, 2016

VIDEO INATISHA!!!! WANAFUNZI WA SEKONDARI HUKO MWANZA WAKAMATA MAMBA MZIMA MZIMA ZIWANI, UKIONA HII VIDEO UTAOGOPA. JIONEE HAPA


BREAKING NEWS::MWANAUME WA MIKA 60 AFUMANIWA AKIFANYA MAPENZI NA MTOTO WA MIAKA 4,TUWAFICHE WAPI WATOTO WETU WA KIKE JAMANI.

HIZI NDIZO NCHI TOP 1O YA NCHI ZINAZO ONGOZA KWA KUWA NA MAISHA MAREFU KWA WANANCHI WAKE.

Kama binadamu wote duniani kote wanavyoishi kwa muda mrefu zaidi.Kwa karne iliyopita,umri wamaisha ya binadamu katika nchi  nyingine umeongezeka hii ni kwa sababu ya kuongezeka kwa huduma za afya,mbinu nzuri za kilimo pamoja na kuzuia vifo vya watoto wadogo wakati wa kujifungua na wakati wa makuzi.
Hata hivyo licha ya kuwa Marekani ndiyo nchi yenye utajiri mkubwa zaidi duniani na watu wake wanaishi katika maisha ya juu kimaisha na wanajitosheleza kwa karibu kila kitu lakini cha kushangaza ni kwamba Marekani haimo katika nchi 10 zinazoongoza kwa kuwa na maisha marefu.Suara la Marekani linaangukia pia kwa Tanzania,licha ya kuwa na mazingira mazuri yasiyokuwa na kemikali na mambo ya hatari yanayoweza kupunguza afya.Lakini bado watanzania wameendelea kuwa katika kiwango cha chini cha maisha ya kuishi kwa wastani ambao huwa unatolewa na umoja wa mataifa kwa kila mwaka.
Hii yote inachangiwa kwa kiasi kikubwa sana na serikali ya Tanzania na watanzania wenyewe kutotilia mkazo zaidi katika masuala ya Afya ya mama na mtoto,katika kipindi hiki cha mabadiliko ya hewa.Ufinyu wa elimu kuhusu ulaji na mabadiliko ya tabia ya nchi kunakofanya watu waendelee kuwa katika ugumu wa maisha,ambako husababisha ulaji mbovu usiokidhi mahitaji muhimu ya mwili.
Ni jukumu sasa la serikali kuweza kutilia mkazo katika maswala ya afya pamoja na kuwapa watanzania elimu ya kutosha juu ya ulaji na namna bora ya kuishi kunakofata sheria na kanuni za afya.
Masahihisho ya makala hii yamefanywa August 2, 2016.
ZIFUATAZO NI NCHI HAPO HCHINI ZINAZOOGOZA KWA KUWA NA UMRI MREFU ZAIDI WA KUISHI KULIKO ZOTE DUNIANI.
NAMBA 10::ICE LAND

Wastani wa maisha kwa ujumla: 82
Wastani wa maisha kwa wanaume: 84
Wastani wa maisha kwa wanaume: 81


NAMBA9::ANDORA
Wastani wa maisha kwa ujumla: 82

NAMBA 8::JAPANI
Wastani wa maisha kwa ujumla: 83
Wastani wa maisha kwa wanawake: 87
Wastani wa maisha kwa wanaume80

NAMBA 7::SINGAPORI
Wastani wa maisha kwa ujumla83
Wastani wa maisha kwa wanawake: 86
Wastani wa maisha kwa wanaume: 80


NAMBA 6::SAN MARINO
Wastani wa maisha kwa ujumla: 83
Wastani wa maisha kwa wanawake: 86
Wastani wa maisha kwa wanaume: 80


NAMBA 5::HISPANIA

Wastani wa maisha kwa ujumla: 83
Wastani wa maisha kwa wanawake: 85Wastani wa maisha kwa wanaume: 80
NAMBA 4::ITALIA

Wastani wa maisha kwa ujumla: 83
Wastani wa maisha kwa wanawake: 85
Wastani wa maisha kwa wanaume: 80


NAMBA 3::USWIZI
Wastani wa maisha kwa ujumla: 83
Wastani wa maisha kwa wanawake: 85Wastani wa maisha kwa wanaume: 81

NAMBA 2::HONG KONG

Wastani wa maisha kwa ujumla: 84
Wastani wa maisha kwa wanawake: 87Wastani wa maisha kwa wanaume: 81



NAMBA 1::MONACO
Wastani wa maisha kwa ujumla: 89

BREAKING::ALICHOKIFANYA OBAMA BAADA YA KUGUNDUA KUWA MTOTO WAKE ANAVUTA BANGI,KITAKUSHANGAZA

– Mwezi uliopita tuliandika habari juu ya mtoto wa Obama kuonekana kwenye mitandao ya kijamii akivuta bangi.
– Sasa inaonekana kwamba amepewa adhabu na baba yake kwa kujihusisha na vitendo hivyo vya uvutaji wa bangi
– Mwandishi wa ikulu ya marekani inayojulikana kama "White house",anasema kwamba mara baada ya baba yake na Malia Obama yaani Barack Obama kusikia habari hizo aliamua kumchukua Malia Obama kwenda kwenye matembezi ambako inasemekana kwamba alimuuliza na kumuonya kuhusu tukio hilo.
Maria Obama mwenye umri wa miaka 18 alikamatwa na kamera akiwa katika tamasha maalufu sana la Lollapalooza akivuta bangi iliyochanganyikana na sigara.Mapema kabla alikamatwa na kamera akiwa anakata mauno yake tena bila wasiwasi na kusababisha video yake kuenea mitandaoni kama moto wa kifuu.
Obama kwa hakika anajua kabisa binti yake anavuta bangi na alionekana kwenye video akikata mauno,sasa ni wakati wa kumuadhibu Malia.

Kama vile mwandishi wa habari wa Ikulu ya Marekani "White house",Kate Bennet anaandika katika ukurasa wake wa Twitter,"alimchukua binti yake na kwenda kwenye matembezi madogo kujadili swala lake.Na walikuwa wawili tu,na sote tunafahamu kwamba matembezi madogo ya aina hiyo yanamaanisha nini linapokuja swala la malezo ya mtoto wa kike.
Natafsiri kwa kiswahili
"Raisi amemchukua Malia Obama kwenda kwenye matembezi mafupi tu karibu na makazi  yao " yaani Ikulu.

Tuesday, October 11, 2016

Nchi Kumi Zinazoongoza Kwa Kuwa na Wasichana Warembo Barani Afrika

Afrika ni miongoni mwa Bara lililobarikiwa tamaduni, lugha na watu tofauti wenye tabia zinazoshabihiana ikiwamo ukarimu.

Miongoni mwa watu wa Bara hili wapo wasichana warembo wa kuvutia tofauti na wengine, katika hili kuna mjadala mpana huku baadhi wakikubali kuwa kuna watu wanaovutia kuliko wengine huku baadhi yao wakidai kuwa uzuri, urembo wa mtu unatafsiriwa kulingana na anayemtizama.

Lakini katika hili tukubali tukatae miongoni mwa wanawake wa Afrika bila kujali wanatizamwa na nani ni wazuri na warembo na wanavutia kuliko wengine.

Ifuatayo ni orodha ya nchi 10 zenye wanawake wenye mvuto barani Afrika, mwaka jana Tanzania ilishika nafasi ya 10 mwaka huu imepanda nafasi moja na inashika nafasi ya tisa.

10: Ghana

Nchi ya Ghana inashika namba 10 kwa kuwa na wanawake wazuri Barani Afrika kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa Machi mwaka huu na tovuti mbalimbali za masuala ya urembo ikiwamo Afrojuju, Urbanviralmedia.

Jambo wanalolingana wanawake wa Ghana kuwa wana mvuto wa asili ambao huuongezea kwa kujiremba.

Mwaka jana Ghana ilishika namba nane, mwaka huu imeshuka nafasi mbili na kushika nafasi ya 10.

9: Tanzania

Nafasi ya tisa mwaka huu imeshikiliwa na Tanzania iliyokuwa inashikilia nafasi ya 10 mwaka jana hivyo imepanda nafasi moja.

Miongoni mwa sifa za wanawake wa Tanzania ukiachilia mbali uzuri wa asil ni ni pamoja na kutunza nyumba, ujuzi wa kukisafisha chumba na kukipamba. Katika orodha hii wametajwa kuwa wanawake bora wachapa kazi na wanaojali familia.

8: Kenya

Imepanda nafasi moja kwa kuwa mwaka jana ilishika nafasi ya tisa.

Sifa za wanawake wa nchi hiyo ni pamoja na kuwa wajuzi katika mapenzi, wachapa kazi na watuamiaji wa pombe, jambo linalowatofautisha na watu wengine ni rangi yao ya kuvutia.

7: Nigeria

Kwa miaka miwili mfululizo warembo wa Nigeria wanashikilia nafasi ya saba.

Wanawake wa Nigeria licha ya kuwa na rangi za kuvutia, pia wana maumbo ya yaliyojazia na wamejaaliwa kuwa na uwezo wa kuzaa watoto wengi, kati ya 1970 na 2011 Nigeria iliongezeka idadi ya watu mara tatu na kuifanya kuwa nchi yenye wakazi wengi barani Afrika. Kama unataka mwanamke mzuri na atakayekuzaliwa watoto wengi Nigeria inakuhusu.

Kwa wale wanaotaka mwanamke mwenye sifa za kuwa mke, wa nchi hiyo wanafaa. Sifa ya kipekee wanajua kupika na kutunza familia.

6: Ivory Coast

Mwaka huu namba sita imeshikiliwa na Ivory Coast ambayo mwaka jana haikuwepo kabisa, hivyo imeingia kwenye 10 bora kwa mara ya kwanza, nafasi hiyo mwaka jana ilishikwa na nchi ya Afrika Kusini.

5: Afrika Kusini

Nchi hii imewapa jina warembo wake “Upinde wa Mvua wa Taifa”. mwaka huu imepanda nafasi moja kutoka nafasi ya sita iliyoshika mwaka jana.

Ni miongoni mwa nchi zenye wasichana warembo wa kuvutia katika Bara la Afrika. Miji ya Cape Town, Johannesburg, Pretoria na Durban ndiyo yenye wanawake wenye mvuto. Wanawake wa Afrika Kusini wanang’aa na kuvutia kutokana na ngozi zao nyororor.

Unapofika nchini humo hasa katika Jiji la Pretoria kuwa makini kwa sababu unaweza kugongwa na gari kutokana na kuwashangaa warembo hao ambao kwa kawaida huvaa tofauti kidogo, nguo zao huwa fupi.

4: Rwanda

Wanaume wao hujivunia kwa kuwaita “Tufaa Lililojificha”, mwaka jana nchi hiyo ilishika nafasi ya kwanza kwa kuwa na wanawake warembo, mwaka huu imekamata nafasi ya nne.

Wanawake wa nchi hii sifa ya kipekee ikiwamo urefu unaopendeza, shepu ya Kiafrika kabisa, wasomi na wanaotaka kufahamu kila jambo.

Kitu kinachowafanya wawe juu licha ya kuwa warembo, ni wachapa kazi wanaojali muda na kupigania wanachokitaka bila kujali wanapambana na nani na ana nafasi gani ikiwamo kutoogopa mashindano na wanaume katika nyanja mbalimbali ikiwamo za kisiasa, kielimu au kiutendaji.

3: Somalia

Sifa yao maarufu na wanayopendwa kuitwa na wanaume wa nchi yao ni “Vita Aiharibu Urembo”, mwaka jana walishika nafasi ya pili. Licha ya urembo na kuwa karibu maeneo mengi katika Bara la Afrika bado wana utamaduni wa kuoana wao kwa wao. Wanatajwa pia kuwa miongoni mwa wanawake wanaoamini katika ndoa na kuitendea haki.

2: Eritrea

Ni miongoni mwa nchi zenye wanawake wenye mvuto barani Afrika, licha ya asilimia kubwa ya wanawake wake kujihifadhi kwa kuvaa ushungi na mavazi marefu bado asili ya urembo wao ipo pale pale.

1: Ethiopia

Wanawake wa nchi hii huitwa “Asili ya Ubinadamu”. Huo ni utambulisho wao mbele ya macho ya dunia.

Inaelezwa kuwa ustaarabu kwa wanawake ulianzia katika Ethiopia, hivyo inatajwa kuwa ni nchi yenye wanawake wenye mvuto zaidi barani Afrika.

Wengine wanasema matokeo ya mvuto wao yanatokana na mchanganyiko wa watu wa kale wa Yemen na Ethiopia. Wakati mwingine inakuwa ngumu kuwatofautisha kutokana na baadhi yao kufanana sana, maumbile, sura na uzungumzaji.

Samsung wawataka wateja wao kutupa ‘Galaxy Note 7’, zina tatizo la kulipuka kwenye chaji


Kufuatia ripoti za matukio mengi ya watumiaji wa simu za Samsung kulipukiwa na simu hizo wakati wa kuchaji, kampuni hiyo ya Kikorea hatimaye imewataka watumiaje wake kutupa toleo la ‘Galaxy Note 7’ kutokana na tatizo hilo.

Kampuni ya Samsung imetoa tamko rasmi kupitia tovuti yake ikiwataka watumiaji wa simu hizo toleo la ‘Galaxy Note 7’ duniani kote kuchukua tahadhari na kuacha kabisa kuzitumia  wakati ikiendelea na uchunguzi zaidi.

“Tunafanya kazi na Mamlaka husika kufanya uchunguzi kuhusu kuwepo kwa ripoti za matukio yanayohusu Galaxy Note7. Kwa sabababu usalama wa mteja wetu ni kipaumbele, Samsung tunawataka wauzaji wote wa simu zetu duniani kuacha mara moja kuuza Galaxy Note 7,”imeeleza taarifa rasmi ya kampuni hiyo.

Majaribio ya betri ya simu ya Samsung, Galaxy Note 7 yaliyofanywa katika maabara moja nchini Singapore yalipelekea simu hiyo kulipuka moto.

Hivi karibuni, hata hapa Tanzania, kumekuwa na ripoti za matukio ya wananchi wengi kudai kuwa wameripukiwa na simu za Sumsung walipokuwa wanachaji. 

Pia, kulikuwa na taarifa ambazo hazikuthitishwa na Mamlaka kuhusu watu kulipukiwa na simu hizo walipozipokea wakati zikiwa kwenye chaji.

Sunday, October 9, 2016

CHINa Yapiga Marufuku Nyama ya Kuku


Serikali ya China yapiga marufuku uuzaji za kuku zilizozalishwa kwa mbinu mpya ya uzalishaji kwa kutumia homoni .

Raia wengi nchini China wameripotiwa kuwa na maradhi yanayosababishwa na homoni zinazopatikana katika proteini ya nyama ya kuku.

Wizara ya afya ya umma imetangaza kuwa makampuni yote ya kuuza nyama ya kuku kufungwa na viwanda vitakavyokiuka sheria hiyo mpya vitapewa adhabu kali.

Kwa sasa kuku waliozalishwa kwa kutumia hormoni na antibiyotiki wanauzwa karibu kila pande ya dunia .

Wazalishaji wa kuku hizi kwa ajili ya biashara hutumia hormoni na antibiyotiki ili kuharakisha kukomaa kwa kuku hawa .

Thursday, September 29, 2016

PICHA 10: Ndege inayotajwa kwa ubora na yenye starehe kuliko zote duniani

Mtu wangu wa nguvu leo nimeipata hii ya Ndege inayotajwa kuwa na starehe za kutosha ikiwa imetengenezwa ubora kuliko Ndege yoyote ile duniani. Ndege hii inafahamika kama“World’s Most Luxurious Commercial Jet ikiwa na jina la kibiashara Crystal
crystal-luxury-air-global-express-xrs
Crystal Plane ina mgahawa wa kisasa zaidi kuliko hata migahawa ya mitaani, Bar ambayo ni Classic sana, pamoja na huduma ya Internet yenye kasi zaidi ya Wi-Fi… Ndege hii inamilikiwa na kampuni kutoka nchini Marekani. 
Gharama za kuikodi ndege hii ni dola za Marekani elfu hamsini kwa siku moja huku abiria akipewa huduma ya hadhi ya hoteli ya five star. Ndege hii inatarajiwa kuanza kutumika na wateja ifikapo mwaka 2017.
Nimekusogezea hapa picha za ndani ya ndege hiyo mtu wangu.
cy2
cy3
cy4
cy5
cy6
cy7
cy8
jet-1
ULIPITWA NA KAULI YA BABU TALE KUHUSU UKARIBU WA DIAMOND NA OMMY DIMPOZ? MTAZAME HAPA.

Monday, September 19, 2016

BAADA ya Kubanwa Sana Hizi Ndizo Njia Mpya za Usaliti Wazifanyayo Wanawake wa Maofisini

Huku ukijifanya kututambia " Masela " Kitaani na ukijishebedua kuwa Mkeo anayefanya Kazi katika Kampuni X huko Mjini kuwa " hakusaliti " eti kwakuwa tu asubuhi huwa unampeleka Kazini mwenyewe, mchana wakati wa Lunch huwa unampigia, mnaongea na kukuambia anakula na jioni Saa 11 au 12 huwa unampitia tena Kazini kwake na kurudi nae Kwako nadhani utakuwa unajidanganya sana na umeshaingizwa " Kingi ".

Uchunguzi wa hali ya juu sana umegundua ya kwamba 85% ya Wake / Mademu za Watu wanaofanya Kazi za Maofisini ( zile Kazi za kueleweka na siyo za kuuza matembele au maparachichi jamani ) wamebuni mbinu mpya, kali na ya kisasa kabisa ambayo kwa kiasi kikubwa mno imewasaidia kufikia malengo ya " kuchepuka ".

Mbinu hizo ni zipi?

Njia zao KUU za usaliti zipo mbili tu ambazo ni:

  1. Akishajua kuwa ana miadi na " mchepuko " wake Kesho na kama wamepanga asubuhi basi anachokifanya kwanza ni kuomba ruhusa kwa Bosi wake kuwa Kesho asubuhi atachelewa kufika Ofisini na kama alizoea kufika Saa 2 basi ataomba afike Saa 3 au Saa 4 na Bosi wake akishamkubalia tu akirudi kwa Mume / Mpenzii wake anachokifanya ni kumwambia kuwa Kesho anatakiwa kuwahi kufika Kazini hivyo badala ya kuondoka muda ule ambao wamekuwa wakitoka pamoja Saa 12 yeye sasa ataondoka kwake Saa 10 alfajiri kisha anakwenda " kubanduliwa " kisawasawa na " mchepuko " wake hadi Saa 2 asubuhi na Saa 3 anatimba zake Ofisini akiwa mwepesi na mchangamfu. ( Hii mbinu hutumiwa sana na Wanawake walioolewa au wenye Wapenzi wao ambao wanakaa mbali na mjini na kiukweli inawasaidia sana katika kuchepuka )
  2. Wanawake wengine hutumia sana ule muda wa Lunch kwenda kuchepuka na hii mbinu sasa ndiyo imekuwa habari ya mjini kwani ule muda wa Lunch wa kuanzia Saa 6:30 hadi Saa 7:30 au Saa 8:00 Wake / Mademu zenu huutumia very effectively. Hapa Mwanamke ataaga anaenda kula mahala fulani lakini wakati anaenda tayari anakuwa ameshafanya mawasiliano ya mwisho na " mchepuko " wake na ambapo hukutana na " kubanduana ". ( Hii mbinu hutumiwa sana na Wanawake ambao wana Wapenzi wenye wivu uliopitiliza dhidi yao na mara nyingi mno Watu ambao huwa wanachepuka nao huwa ni ama Mabosi zao katika hiyo hiyo Ofisi au Mfanyakazi mwenzie na hapa ngono hufanyika hata ndani ya Magari yao au Lodge ya jirani na mchepuko hununua kabisa take away ya huyu Mwanamke )

Usilolijua la ziada ni kwamba mara nyingi kwa ule muda wa alfajiri wa Saa 11 Mkeo / Demu wako akiwa anaenda kwa " mchepuko " wake hubanduliwa bao mbili ( 2 ) za fasta fasta kisha anaachiwa awahi kwenda Ofisini na kwa muda ule wa lunch time Mkeo / Demu wako akienda kwa " mchepuko " wake hubanduliwa tu bao moja ( 1 ) ila la nguvu kama siyo la uhakika kisha anaachiwa muda wa kula take away aliyonunuliwa na kurudi zake Ofisini.

Mwisho.

Wanaume na Mablaza Meni ambao huwa mnajifanya kwenda kuwapitia Wake / Mademu zenu jioni Maofisini kwao huwa mnasanifiwa sana na " wanaowabandulieni " kwani unaweza kukuta unapomfuata Mkeo / Demu wako aliyekubandulia yupo dirishani anakusanifu tu na wengine huwa mnajifanya kuwa na moyo wa msaada na kuamua kuwapa lifti Wafanyakazi wanaofanya Kazi na Mkeo / Demu wako lakini utakuta katika hao hao Wafanyakazi wenzie uliowapakia pia umembeba na Mume mwenzio na mara nyingi kwakuwa Wewe utakuwa busy unaendesha " Kagari " kako Mkeo / Demu wako anachati tu WhatsApp na " mchepuko " wake ulio siti ya nyuma huku Wakikusanifu tu.

Nimeona leo niwawekeni wazi Wanaume wenzangu hivyo ni jukumu lenu sasa " kuamka " na kuwa macho ila hili halina ubishi Wanaume wengi sana wenye Wake / Mademu zenu wanaofanya Kazi Maofisini mjini " mnachapiwa " sana na Mabosi na Masela.
 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta