Monday, June 13, 2016

Video: Linnah kafunguka kuwa anatamani Darassa angekuwa Baba watoto wake

June 13 2016 kuna story nyingi za Entertaiment zimechukua Headlines na moja kati ya story za Entertaiment ambazo zimechukua Headlines ni hizi kutoka Perfecto TV,  mrembo kutoka bongoflevani Linnah amefunguka kuwa anatamani kuwa Rapper Darassa anagekuwa Baba watoto wake.
Naweza ni kasema kuwa kutokana na tabia alizonazo Darassa anastahili kuwa baba maana nimekaa na Darassa kwa muda mfupi lakini nimemkubali sana, nimemuona ni mtu flani ambaye namkubali sana yaani Darassa ana kila kitu ambacho mimi natamani Boyfriend wangu angekuwa nazo‘>>>LinnahIMG_20160613_163600
  

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta