Monday, May 30, 2016

VIDEO: Freeman Mbowe kazungumza baada ya Wabunge kutolewa tena bungeni

Headline za Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi ilitangaza kuwafukuza jumla ya wanafunzi 7802 kutoka Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kufuatia mgomo wa Walimu unaoendelea hivi sasa zimeendelea kuchukua nafasi Bungeni Dodoma.
Asubuhi ya May 30 2016 Baadhi ya Wabunge kutoka vyama tofauti walisimama Bungeni kuomba suala hilo kujadiliwa lakini ombi hilo halilikubalika mbele ya Naibu SpikaTulia  Akson. Baada ya kipindi cha pili kurudi mjadala ukakataliwa kwa mara nyingine.
Nakukutanisha na  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).Freeman Mbowe akiongea na Waandishi wa habari.

U

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta