Monday, May 30, 2016

VIDEO: ‘Tulitarajia kutokea kwa tukio lililotokea Bungeni’-Mbunge Goodluck Mlinga

Headline za Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi ilitangaza kuwafukuza jumla ya wanafunzi 7802 kutoka Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kufuatia mgomo wa Walimu unaoendelea hivi sasa zimeendelea kuchukua nafasi Bungeni Dodoma.
Asubuhi ya May 30 2016 Baadhi ya Wabunge kutoka vyama tofauti walisimama Bungeni kuomba suala hilo kujadiliwa lakini ombi hilo halilikubalika mbele ya Naibu SpikaTulia  Akson. Nakukutanisha na Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga kwenye exclusive iterview akitoa maoni yake.

U

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta