Thursday, May 12, 2016

Mkuu Wa Wilaya Kinondoni Avamia Gesti!

mkuu wa wilaya kinondoni (2)
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi Salum akifika kwenye gesti hiyo.
 Kasi ya Magufuli! Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Ally Hapi Salum (pichani) amevamia gesti moja iliyopo Manzese Tip Top jijini Dar baada ya mwananchi mmoja kumpa malalamiko ya kuwepo kwa akina dada wanaojiuza ‘machangudoa’ na vibaka, Ijumaa liko bega kwa bega.
mkuu wa wilaya kinondoni (5)Ndani ya gesti hiyo.
Tukio hilo la aina yake lilijiri juzi kwenye gesti hiyo iliyopo ndani ya baa maarufu ya Lambo ambapo mkuu huyo wa wilaya alikuwa katika kamatakamata ya wafanyabiashara wanaodaiwa kuficha sukari maeneo ya Manzese zoezi ambalo pia liko nchi nzima.

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta