Msanii wa muziki wa kundi la Mafikizolo kutoka Afrika ya kusini,Theo Kgosinkwe akitumbuiza katika Tamala la Vodacom kichuo zaidi lililofanyika jana katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM)
Wasanii wa muziki wa kundi Mafikizolo kutoka Afrika ya kusini wakipagawaisha nyoyo za wanachuo katika Tamasha la Vodacom Kichuo zaidi lilifanyika jana katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dodoma .
Msanii wa muziki ,Theo Kgosinkwe akionyesha umahiri wake wa kucheza muziki katika Tamasha la Vodacom
Mwanamuziki wakizazikipyaNasibu Abdul “Diamond Platinum’s” akiwaimbia kwa hisia mashabiki wake waliofika kwenyeTamasha la Vodacom Kichuo zaidi
Mwana muziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul “Diamond Platinum’s” pamoja na kundi la muziki la Mafikizolo wakiimba wimbo wao wa Color of Afrika wakati wa Tamasha la Vodacom Kichuo zaidi.
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii