Wafamasia katika Chuo Kikuu cha Muhimbili wamedai kuthibitisha kisayansi kuwa 'Supu ya Pweza' inaweza kuchochea hamu ya kufanya mapenzi kwa wanaume. "Sio kitu cha imani tena, sasa hivi tuna ushahidi wa awali unaotupa mwanga wa matumaini kuthibitisha matokeo hayo katika mwili wa binadamu," amesema Profesa Eliangiringa Kaale.Nini maoni yako?
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii