Thursday, June 23, 2016

VIDEO: Young Dee Alivyoweka wazi Kuhusu Kutumia Dawa za kulevya

June 22 2016 Rapper kutoka bongoflevani Young Dee amerudi rasmi kwenye uongozi wake wa zamani wa MDB Record ambao uko chini ya Maximilian Rioba,miongoni mwa vitu alivyoviongea rapper huyo ni pamoja na kukiri kutumia dawa za kulevya kwa mwaka mmoja na miezi minne.

Mbele ya Waandishi wa habari,Young Dee amesema >’Young Dee mnayemuona sasa hivi  sio yule wa zamani ambaye alikuwa akitrend kwenye mitandao ya kijamii kweli nilikuwa nikitumia madawa ya kulevya kwazaidi ya mwaka sasa, lakini ninachomshuuru mungu nikuwa siku fikia hali yampaka nipelekwe Rehab‘- Young Dee Video: 

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta