“WATASIMULIWA WAMESHUGHULIKIWAJE?”
Msemaji wa Jeshi la ulinzi wa Wananchi wa Tanzania amesema aliyeandika habari kuwa Jeshi limeibiwa Kifaru atawasimulia waandishi wengine jinsi atakavyoshughulikiwa
“Kwanza ni waambie Kifaru sio bajaji sio Landrover kwamba unaweza kuibeba Kifaru kinapowaka lazima mlio wake utagundulika. Kama mmeanza kutafuta KIKI kupitia Jeshi hatuwezi kuwavumilia. Hii sio sehemu ya kutafutia umaarufu.
”Sisemi tutamfanya nini?? Ila yeye ndio atasema AMEFANYWA NINI NA JESHI
Na tumeliomba Jeshi la Polisi ituachie wenyewe kesi hii” – Kanali Ngemara Lubinga.
Video:
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii