Nadir Haroub Cannavaro nahodha wa Yanga ambaye alitangaza kustaafu timu ya taifa baada ya kuvuliwa unahodha, mwenyewe anasema alikosewa heshima kwa kupewa taarifa kupitia vyombo vya habari, kaitwa tena timu ya taifa na kocha Mkwasa je ataenda ?
“Ni kweli kocha Mkwasa kaniita timu ya taifa ila kwa sasa nasikiliza uongozi wangu, kila kitu nawaachia viongozi, kama nitaenda au sitaenda mtajua tu maamuzi ya mwisho”
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii