Kupitia mtanndao wa instagram hot female rapper Nick Minaj mwenye umri wa miaka 33,ambae ni X-Girlfriend wa rapper Meek Mill amewasuprise mashabiki wake kwa kupost picha inayoonyesha akiwa mtupu huku her big bo*obs (matiti)yakisitiriwa na blue & silver braa.
Ikumbukwe kuwa on April mwaka huu jarida la Time’s nchini marekani lilitoa list ya watu 100 maarufu wenye ushawishi ulimwenguni huku Nick Minaj akiwemo kwenye list hiyo.
Nick Minaj & Meek Mill.
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii