Monday, May 16, 2016

Mwonekano mpya eneo la Ubungo baada ya Machinga kuondolewa

1Miti iliyokuwa imesimikwa kwa ajili ya kutundika nguo kama inavyoonekana.
2
Eneo la Mataa ya Ubungo walipokuwa wakiuzia nguo machinga baada ya kuondolewa na kupelekwa sehemu yao mpya ya kufanyia biashara iliyopo karibu na Stendi ya Simu 2000 ‘Mawasiliano’.
3Kweupee baada ya machinga kuondoka.
4
5Taswira ya eneo hilo kwa .
HII  ni taswira ya eneo la Ubungo Mataa baada ya wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga kuondolewa eneo hilo kufuatia Mamlaka ya Jiji la Dar es Salaam kuwataka waliache wazi.
Mtandao huu umenasa picha kadhaa zikionesha eneo hilo lilivyo kwa sasa baada ya mwandishi wetu kulitembelea leo.

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta