MREMBO kunako filamu Ghollywood, Juliet Ibrahim juzi kati alionekana akijibebisha ‘live’ na mkongwe wa filamu kutoka Nollywood, Pete Odochie.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Juliet alitupia picha akiwa na mkongwe huyo kisha akaandika; “Mwanaume ninayemkubali, naipenda sana hii picha.”Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

