Saturday, October 15, 2016

VIDEO:Mke wa Steve Nyerere Aongea Kuhusu Dada wa Bongo Movies Aliyemnyang'anya Mume

Mke wa mchekeshaji steve Nyerere amezungumzia kuhusu dada mmoja wa bongo movie kunyang'anya mume wake na kudai kuwa steve ataenda popote lakini atarudi tu kwa kuwa yeye ana watoto wake, amesema kuna wadada wenye maisha magumu wanataka kuwa na maisha bora ndio maana wanamsumbua sana mumewe lakini kamwe hawatakuwa naye na hana wasiwasi Video: 

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta