Tuesday, August 2, 2016

[VIDEO]VIDEO YA MTOTO WA OBAMA KIKATA MAUNO NUSU UTUPU YAZUA GUMZO KUBWA MTANDAONI,TAZAMA VIDEO HAPA CHINI.

Malia mwenye umri wa miaka 18,katika kipindi cha hivi karibuni alikua amehitimu katika masomo yake ya "high school" anatarajia kupumzika kidogo kabla ya kujiunga na masomo yake ya chuo kikuu cha Havard mwaka 2017.Aliamua kuhudhulia tamasha moja la watoto huko marekani katika eneno  linalojulikana kama Lallapalooza.
Malia alikamatwa na mapaparazi wa mambomsetotz akiwa anakata mauno na kuinua sketi yake na kuonyesha mauno yake pamoja na nguo yake ya ndani.Tukio hilo lilitokea akiwa katika show ya Mac Miller akifurahia maisha na marafiki zake.
Wachunguzi wa mambo wanasema kuwa Lollapalooza sio sehemu nzuri sana pa kwenda na kufanya matamasha yanayoandaliwa hapo.
Mwaka jana kuna watu takribani watu 34 waliwekwa chini ya ulinzi na watu 238 walipelekwa hospitali kwa matatizo ya unywaji wapombe uliopitiliza.Hospitali moja iligundulika ikiwa tibu watoto baada ya kuwa wamegundulika kutumia pombe ambayo inakuwa imechanganywa na pombe kali,ikiwa na bangi na madawa ya kulevya(unga).
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI LIVE KABISA

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta