August 8 2016 siku ya Simba Day ilihitimishwa kwa wekundu wa MsimbaziSimba kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya klabu ya AFC Leopard ya Kenya na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 4-0, magoli ya Simba yalifungwa na Ibrahim Ajibudakika ya 38 , 60 Shiza Kichuya dakika ya 66 na Laudit Mavugo.
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii