Thursday, August 18, 2016

VIDEO: Ajali ya gari ndogo na lori iliyotokea kati ya mataa ya Mlimani City na TCRA

Usiku wa August 19 maeneo ya mataa yaliyopo kati ya Mlimani City na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) ilitokea ajali ya gari ndogo ambayo haikuweza kufahamika kwa haraka kutokana na kugongwa na Lori lililovuka na kuingia hadi kituo cha mafuta kilichopo jirani na mataa hayo.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo gari ndogo ilikuwa  ikiendeshwa na mwanamke ambaye mwili wake haukuwa umeweza kuokolewa kutokana na kubanwa,millardayo.com bado inafuatilia kwa kina taarifa kutoka jeshi la polisi.


Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta