Klabu ya Yanga ipo tayari mjini Lubumbashi DRC Congo kwa ajili ya mchezo wao wa mwisho wa Kundi A wa kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya wenyeji wao TP Mazembe, Yanga wamefikia Hotel Lubumbashi ikiwa katikati ya mji wa Lubumbashibila uwepo wa baadhi ya nyota wao kama Vincent Bossou, Nadir Haroub Canavaro,Donald Ngoma, Ally Mustapha Obrey Chirwa na Kelvin Yondani.
Mtu wangu wa nguvu nimekusogezea picha 9 za hoteli waliyofikia Yanga katika mji wa Lubumbashi
Juma Mahadhi baada ya kupata chakula cha jioni
Kutoka kushoto ni blogger wa Yanga Chicharito na beki Hassan Kessy baada ya chakula cha usiku.
Hassan Kessy baada ya chakula akishushia na soda
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii