Ni bahati siku yako ya kuzaliwa ikiwa imeambatana na siku muhimu ya kumbukumbu kwenye nchi yako.
Jumatatu hii mtoto wa rais wa Marekani, Barack Obama, Malia alitimiza miaka 18 ikiwa ni siku ambayo nchi ya Marekani ilikuwa ikiwakumbuka wanajeshi wake mashujaa kwenye nchi hiyo. Kendrick Lamar na Janelle Monáe ni wasanii pekee walioalikwa kwenye sherehe hiyo kwa ajili ya kufanya show.
Akihutubia wakati wa sherehe ya kuzaliwa ya binti yake huyo, Obama alisema, “These two I’ve gotten a chance to know and they’re both amazing artists and talented and popular and doing great things.”
“But they’re also very conscious of their responsibilities and obligations. They put in a lot of time and effort on behalf of a lot of causes that are important and I’m really proud of them for that,” aliongeza.
Tazama video hapa.
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii