Tuesday, July 5, 2016

TAZAMA Video Mpya ya Mwanamuziki Harmonize Kutoka Wasafi Records

Baada ya msanii wa Bongofleva Harmonize kuachia video yake ya ‘Bado’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz, leo July 4 2016 Harmonize ameachia video yake ya tatu ‘Matatizo’ Harmonize amechia video ya wimbo ambao hakuwa ametoa audio yake ila ameamua kuanza na video moja kwa moja. 

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta