Monday, July 4, 2016

MTU Mmoja Akamatwa na Kichwa cha MTU Baada ya Kufukua Kaburi na Kukikata


Katika tukio lililoshangaza watu wengi huko mkoani Mbeya, mwanaume mmoja amekamatwa na kichwa cha binadamu baada ya kufukua kaburi.

Inadaiwa alifikia maamuzi hayo ili aweze kufanikiwa katika biashara zake.....

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta