Friday, July 29, 2016

KWA WAKAKA TU::HIVI NDIVYO VITU VITANO 5 VITAKAVYOKUTOKEA KATIKA UUME WAKO BAADA YA UMRI WAKO KWENDA.

Hii sio hadithi inayohusu mambo ambayo yatakutokea  kwenye uume wako wakati ukiwa unazeeka.Sio vitu ambavyo viyakutokea kwa bahat mbaya au bila kutarajia.Tafadhali usifikirie hivyo ni vitu ambavyo vitakutokea lazima katika maisha yako kwa hiyo jiandae kabisa .Kwa hiyo ukiwa kijana inabidi ufurahi sana kwa sababu siku zinakuja utakapo lia sana kwa kuwa na matatizo ya asili katika uume wako.
Kwa mujibu wa uchunguzi wa kisayansi ulioshirikisha wanaume zaidi ya 70 umegundua kwamba,korodani zako zitarefuka sana unapozeeka  kiasi cha kugusa maji ukiwa katika choo cha kukaa.Ni tukio lisilokwepeka katika maumbile ya kiume unapokuwa unazeeka.

Uume utasinyaa—Utasinyaa Daima.
Hili ni tukio la kudumu litakalokutokea wakati ukiwa unazeeka.Ni la taratibu lakini la uhakika litakalopunguza saizi ya uume wako unapokuwa unazeeka.Una jua kwa nini uume wako unapungua saizi na uzito,ni kwa sababu ya seli zinazokuwa kwenye uume zinakuwa zinapotelea ndani ya kitambi chako unachokuwa unakipata baada ya kuzeeka.
Je unataka kuharibu mambo kabisa?Endelea kukuza kitambi chako kwa kunywa pombe,na tumbo lako litakuwa kubwa na asilimia za seli za uume zinafukiwa chini ya ngozi za tumbo.Hesabu rahisi ni kwamba ongeza kitambi na punguza urefu wa uume wako fullstop

“Katika miaka yako ya  60s na 70s,” anasema Dokta Steixner  "hali inaweza ikawa mbaya zaidi, Nimewaona wagonjwa wemgi zaidi wanaonekana uume wao kama alama ya kuuliza"
Bahati nzuri,siku hizi kuna dawa za kuweza kutumia zinazoweza kukusaidia kuondoa tatizo hilo la uume wako kujikunja kama alama ya kuuliza.
Kuna zaidi ya watu milioni 30 wenye matatizo ya kupungua kwa nguvu za kiume,Sababu inayosababishwa ni kupatwa kwa matatizo ya mfumo wa mzunguko wa damu.
Kupungua kwa nguvu za kiume au kuisha kabisa ni kama kupata shambulio la moyo la uume anasema Daktari Steixner.Nakuzuia ugonjwa huu ni sawa na kutoa ushauri wa kutosha kwa mtu anayeugua ugonjwa wa moyo."Kula vizuri fanya mazoezi vizuri ukifanya hivyo utakuwa salama"

Wanaume wengi wanajua majanga halisi ya kupatwa na magonjwa kama kansa ya korodani pamoja natezi dume na ni muhimu sana kuangalia maendeleo yako ya ukuaji kila siku jichunguze!Lakini pia kuna hatari ipo pia ya kupata kansa ua ngozi na kansa ya uume wenyewe,hasahasa unapokuwa unapenda kumuingilia mke wako kinyume na maumbile.
Pia wanaume ambao hawajatahiriwa wanaweza kusababisha matatizo makubwa sana katika maumbile yao ya uzazi kutokana na hali yao ya usafi,kunaweza kusababisha kansa ya uume pia.Kesi inakuja kwamba kama hujatahiriwa acha kabisa kufanya mapenzi kinyume na maumbile na hakikisha kuwa sweta lako liko safi kabisa.Kwani naweza kupatwa na nini nikiendelea kufanya mapenzi kinyume na maumbile,Usiulize swali kama hili lakini kama unataka kujua sawa "Uume wote unaweza kuondolewa kabisa madakatari wanasema ivo"

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta