Monday, July 4, 2016

HAYA NDIYO MAENEO 9 YA KIMAHABA SANA AMBAYO MWANAMKE ANAPENDA UYASHIKE MWILINI MWAKE AJISKIE BURUDANI MUWAPO FARAGHA

Umakini kidogo tu katika mikono ya msichana na nyuma ya magoti yake kunaweza kubadili mwenendo wa mapenzi kutoka mapenzi mazuri kwenda kwenye mapenzi yasiyo sahahaulika na ukichezea vizuri maeneo hayo anaweza asikusahau kamwe kwa mahaba atakayokuwa akiyapata katika maeneo hayo tu.


Wanawake siku hizi wanalalamika sana kwa sababu siku hizi wanaume wanakalili sana na huchezea maeneo machache sana na wanatumia mda mdogo sana kutambua sehemu nyingine zenye raha.
Kitu kama hiki ni aibu sana kwa mwanaume kwa sababu kuna maeneo mengi sana kwenye mwili wa mwanamke ambayo unaweza ukayagusa,ikayabinya binya au kulamba ili kuongeza munkari wa kufanya mapenzi kwake na kwako pia.Chukulia somo hili kama kitabu chako cha kugundua dhahabu iliyofichika.
 

USOWAKE
Ubongo wa mwanamke huwa unazimika anapofika kileleni.Anza safari hiyo kwa  kushika kichwa chake kwenye mapaja yako na tomasa  eneo la juu ya nyusi zake kwa kwa kutumia vidole vyako.
Angalia midomo yake,mwanamke anapokuwa amesisimka na kusikia raha na miguso ya kimapenzi misuli yake itakuwa ime relax na hii hupepelekea mdomo wake kuwa umefunga.

MASIKIO YAKE.
Kuna  aina mbili za kuamshwa kihisia,kwanza kimwili pili kihakili
Gusa au “massage” mzunguko wa masikio yake kwa mikono yako kwanza wakati huo huo ukilamba upande wa mgongo kwa nyuma chini ya kisogo.Ukiona anasikia raha basi tumia ulimi wako na baadae pumua kidogo ndani ya masikio yake ataona raha ya ajabu kabisa ambayo itakufanya safari yako ya kuelekea kileleni kwake iwe rahisi.

SHINGO YAKE.
Mlambe shingoni mwake hasa hasa sehemu katikati ya koromeo na kidevu.Ngozi ni laini na nyembamba sehemu hizo mishiva ya neva za fahamu ipo karibu sana na ngozi ndiyo maana ni eneo zuri sana kwa ajili ya kunyonya na kuamsha hisia zake. “na ni swala zuli sana la kimapenzi kumruhusu mtu kuwa karibu na wewe kiasi kile huamsha hisia tamu za kimapenzi”.

MODOMO YAKE
Kubiga busu ni mtihani wako wa kuingilia kwenye sehemu nyingine kwenye mwili wake
“kupiaga busu humfanya msichana akuchukuie kama wewe ni mwalimu wa mapenzi na unajua thamani ya penzi lake kwako ”kwa hiyo usichukulie busu kirahisirahisi.Nyonya na lamba midomo yake hasa wa juu na wachini kwani sehemu hizi zimeungana moja kwa moja na ubongo wa mbele “hypothalamus”ambao unashughulika moja kwa moja na maswala ya hisia.Midomo myekundu maana yake ni amepandisha hisia.

VIDOLE VYAKE.
Mtomase vidole vyake hasa has kiganjani,maeneo haya yana hisia kali sana za kimapenzi hasa hasa unashauriwa kufanya pole pole na taratibu sana,usifanye kwa nguvu kwani kutaondoa maana halisi ya kutomasa.

(MIKONO YAKE.)


MATITI YAKE.
Heshimu sana maeneo yote yanayo zunguka titi pamoja na chini ya titi kabla ya kugusa chuchu zake.Mbinu zako lazima ziwe za taratibu sana lakini ni kwa umakini mkubwa usiwe na papala kwa sababu lengo lako ni kugundua sehemu za raha kwake.
Chuchu zake ziwe za mwisho eneo hili (zina hisia sawa na kinem**Be,huwa zina tengeneza kemikali ambazo huenda kwenye ubongo na kusaidia kufika kileleni kwa mwanaumke)kwa hiyo ukifanya tendo hilo kwa muda mrefu ndio atakapokuwa akisia raha zaidi na kilele kukaribia.

NYUMA YA MAGOTI YAKE.
Wanawake wengi wanaona aibu kugeuka kwa nyuma lakini akisha kuwa amesha lainika vilivyo atakuwa tayari kufanya tukio kama hilo.Tumia vidole vyako vitatu vya kati kumtomasa akiwa amelala kifudifudi.Baada ya hapo tumia ulimi wako kumlamba eneo hilo hakika utashuhudia matokeo mwenyewe.

MGONGO WAKE.
Anza kwa kutomasa kuanzia juu karibu na kisogo shuka chini kwenye mabega kwa kutumia vidole vyako kadili unavyoshuka chini kuelekea kiunoni ndivyo mishipa yake ya neva inavyokuwa ikipata raha na msisimko zaidi.

MIGUU YAKE.
Wataalamu wa mapenzi wanakwambia miguso ya mapenzi kwa mwanamke siyo ya kuzalauliwa hata kidogo kwani ndiyo inayo anzisha hisia kali za kufanya mapenzi.Wanawake wengi waga wanashangaa atafanya nini baada ya kunilamba hapa,mawazo kama hayo ni yamsingi kutambua katika maswala ya mapenzi
Mtomase mapaja yake kwa mwelekeo wa uke wake,lakini usifike kwenye uke moja kwa moja.Mpumulie au brashi ngozi yake ili kuamsha hisia zake kwa leo naishia hapo tukutane kesho.

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta