Monday, June 20, 2016

Video: PENGO LANGU LILIONEKANA KWENYE MCHEZO DHIDI YA BEJAIA – JUMA ABDUL

IMG-20160504-WA0002-770x428Mabingwa wa soka la Tanzania bara Yanga SC wameanza vibaya kampeni zao za kuwania kombe la Shirikisho Afrika baada ya kupoteza mchezo wao wa kwanza kwa bao 1-0 dhidi ya MO Bejaia ukiwa ni chezo wa Kundi A.
Dauda TV imefanya mahojiano na mlinzi wa kulia wa Yanga Juma Abdul anayesifika pia kwa kupandisha mashambulizi.
‘Jay’ hakusafiri na timu kutokana na kuwa majeruhi. Katika mahojiano na Dauda TV, amesema kwamba, mechi ilikua ngumu lakini bado wanauwezo wa kupenya katika kundi hilo.
Kubwa zaidi ni pale alipoulizwa kama umuhimu wake kwenye mechi ile ulionekana na alijibu hivi…
Angalia video hapa chini upate majibu ya Juma Abdul kuhusiana na nafasi yake kwenye mchezo wa Yanga dhidi ya MO Bejaia.

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta