Inawezekana siku yako haijawa poa sana leo, basi chukua time hii kuirejesha furaha kwa kucheka na vituko vya mchekeshaji Joti ambaye time hii amecheza kama mwanamke aliyekutana na Cha Mkongo sasa anamsimulia rafiki yake kile kilichotokea baada ya tukio hilo.
U
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii