Steve Rn'B akiwa na aliyekuwa mke wake. |
Steve amesema anatarajia kuachia ngoma yake mpya ambayo amemshirikisha Bell Nass na kusema ndani ya ngoma hiyo watu watarajie kupata ladha na ubunifu kama ilivyo kawaida yake akidai kuwa huwa hakosei anapoamua kuachia ngoma.
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii