Hivi unajua maana sahihi ya mapenzi?..Kama hujui basi jifunze kutoka kwenye hii picha.Mapenzi siyo kitu cha kutafuta ni kitu ambacho kinakufuata wewe mwenyewe.Sasa nimeamini kuwa yeyote anaye kusema eti wewe ni mbaya haujui ubaya.Hiyo rangi ya huyo mvulana haipatikani dukani,lakini madawa ya kubadilisha rangi na kuwa nyeupe zinapatikana kwa wingi sana dukani,kwa hiyo kuna vitu ambavyo pesa haiwezi kununua acha kujichukia mwenyewe na duniani siku zote hakuna mbaya.Unaweza ukatafuta dunia nzima kuwa ni nani anayekupenda na usimpate kwa hiyo jipende wewe mwenyewe kwani wewe ni wa thamani kubwa sana jiamini.
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii