
Wema Sepetu hana kinga ya ukweli huo na ndio maana kwenye clip iliyowekwa Instagram,anaonekana akibusu na muigizaji mchanga, Koko Byanko utadhani kweli ni
wapenzi.
wapenzi.
Haijulikani filamu hiyo inaitwaje japo Koko amekuwa akiandika ‘Shabiusi’ bila kueleza kama ndio jina lake. Jionee mwenyewe video hiyo.
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii