Wednesday, May 11, 2016

WEMA SEPETU AFUNGUKA MAZITO KUHUSU WANAOMTUKANA MGUMBA,AELEZA MENGI

Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa hapendi watu wanavyomwita mgumba ama kuendelea kumuongelea kuhusu uwezo wake wa kupata mimba huko Instagram kwani saa zingine anashindwa kuvumilia, ameongeza na kusema pia hiyo ndo ilikuwa sababu moja wapo ya yeye kutangaza  sana kuwa anamimba kipindi kile kwani ilikuwa nafasi yake ya kuwa prove wrong watu wanaosema kuwa ni mgumba lakini mungu hakupenda iwe hivyo na mwisho mimba kuharibika....

Jamani Punguzeni Kidogo 

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta