Wanaume wengi ni wataalam wa kuwa na uhusiano na wanawake wengi kwa wakati mmoja. Sasa kwa msichana unayesoma makala hii, hizi ni dalili 9 kuwa huenda wewe si ‘baby number one’ wake bali ni mchepuko tu.
- Mazungumzo mengi naye yanahusisha kufanya mapenzi tu.
- Hawezi kukualika kwenye mkusanyiko wa familia yake.
- Hapendi surprises – hapendi uende kwake bila kumwambia.
- Ni mkali sana kwenye simu yake, hawezi kukuruhusu uishike.
- Ni mgumu kukuonesha mahaba ukiwa naye hadharani.
- Anahofia kupiga selfie na wewe.
- Anapigiwa simu za ajabu ajabu.
- Hakuiiti wewe kama girlfriend wake. Akiwa na marafiki au ndugu zake anakutambulisha kwa jina lako.
- Haongelei kuhusu mipango yenu ya baadaye
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii