Tuesday, May 31, 2016

VIDEO:MGOMO CHUO KIKUU DAR ES SALAAM LEO

Ni Mei 31, 2016 ambapo Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wameingia kwenye headlines za kufanya mgomo wa kudai fedha za kujikimu katika matumizi yao ya kila siku, sasa  Ayo TV imefanikiwa kumpata Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Professor Rwekaza Mukandala kueleza taratibu zinazochukuliwa baada ya mgomo huo kutokea.
‘Kulikuwa na uchelewezashaji kidogo lakini mpaka sasa tunavyozungumza ni kwamba tumepata ushirikiano mkubwa kutoka mamlaka husika huko Serikalini kwahiyo hayo malipo tayari yameshaizinishwa na bodi ya mkopo imeshapeleka fedha hizo katika mabenki na mategemeo yetu muda si mrefu hao wanafunzi wanataanza kupata fedha zao‘- Professor Rwekaza Mukandala

U

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta