Tuesday, May 24, 2016

VIDEO:(KIONJO) Diamond Ft Neyo: Hakika hii ndio nyimbo

Kwa waliona jana Show ya Mwanza ya Neyo na Diamond watakuwa walisikia ule wimbo mpya wa Diamond aliomshirikisha Neyo, bila unafiki ile nyimbo ni kali na am sure wamarekani wataipiga sana ile nyimbo kwenye Stations zao kwani Neyo kaimba kwa hisia sipati picha video itakuwaje lakini kwa nyimbo ile shikamoo Diamond.

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta