Thursday, May 26, 2016

VIDEO:Bashe: CCM ni Waoga, Wanafiki na wa Kujipendekeza, Hatuna Sababu ya Kuendelea Kubaki Madarakani

Akichangia kwenye bajeti ya mali asili na utalii amewaambia wabunge na serikali kuwa hawajawahi kuweka malengo haswa ya kutatua matatizo ya wafugaji na waulima, wamekuwa waoga, wanafiki na wakujipendekeza

Ameongezea CCM kwa wingi wao hawana sababu ya kuendelea kubaki madarakani kama wameshindwa kuishauri serikali kwa ukweli.

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta