Mwigizaji Aunty Ezekiel ambaye yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na Baba mtoto wake aitwae Mose Iyobo ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz, waliangusha party ya mtoto wao wa kwanza Dar es salaam na kualika mastaa na watu wengine May 22 2016.Angalia video hapa chini
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii