Kuanzia wiki ijayo wakazi wa Dar es salaam wanaanza kulipia kupanda mabasi yaendayo haraka ambayo yatasafirisha abiria kupitia barabara maalum zilizotengwa, sasa hivi nakuunganisha na maelekezo ya kutumia kadi za malipo kwa kutazama hii video hapa chini.
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii