Sunday, May 22, 2016

VIDEO: Exclusive ya Halima Bulembo Mbunge mdogo kuliko wote Bungeni ‘Sipendi kutumwatumwa’

Najua kuna watu wangu wao ni damdam kufuatilia historia za maisha ya mastaa wao, kazi yangu siku zote ni kuhakikisha nalisimamia hili na kuzisogeza hapa. Leo katika Exclusive Interview  ya AYO TV tunaye Mbunge wa Viti Maalum CCM  Halima Bulembo ambaye ni Mbunge mdogo kuliko wote katika Bunge la 11.
Halima kaamua kushare na sisi maisha yake kuanzia alivyoanza kuusaka Ubunge hadi changamoto anazokutana nazo Bungeniikiwa ni pamoja na la baadhi ya Wabunge kumchukulia kama mtoto na kumtumatuma.
Yote haya unaweza kuyapata kwenye hii video hapa chini, ukimaliza kuitazama ni ruksa kushusha comment yako ili akipita aweze kuisoma.


Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta