May 30 2016 Baadhi ya Wabunge kutoka vyama tofauti wamegoma kuendelea kushiriki vikao vya Bunge baada ya kutaka hoja ya kufukuzwa kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) waliotakiwa kuondoka chuoni hapo ndani ya masaa 24.
Naibu Spika Tulia Ackson aliliazimika kutoa amri ya kutolewa nje kwa Wabunge hao walioonekana kutokubaliana na kauli ya Bunge kuwa haitaweza kuruhusu mjadala huo ufanyike ndani ya Bunge.
Alichokiongea Mbunge Joshua Nassari nje ya bunge hiki hapa chini kwenye hii video…
U
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii