Tuesday, May 10, 2016

Usiyoyajua kuhusu Mwanamume aliyeamua kuwa mwanamke Nigeria

Kutana na Bi SaHHara, mwanamke mwenye kuegemea jinsia tofauti.

Alizaliwa na kulelewa Nigeria.

Kwa sasa anaishi London, na anazungumzia mawasiliano na familia yake baada kuamua kukumbatia nafsi yake halisi – kuwa mwanamke.

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta