Usiku wa kuamkia May 11, 2016 kuna taarifa ya kusikitisha kutokea Sengerema Mwanza, ni tukio la mauaji ya kukatwa mapanga familia ya watu saba ambao ni ndugu wa familia moja, kati ya marehemu hao wawili wakiwa wafanyakazi wa familia hiyo.
Ripoti iliyonifikia leo ni kwamba miili ya watu hao waliouawa imezikiwa kijiji cha Sima, Sengerema Mwanza na miili ya watu wawili kati yao imesafirishwa kwenda Ngara Mkoa wa Kagera.
Askofu Mussa Magwesela.
Hili ndio eneo la makaburi ambapo miili ya marehemu hao imezikwa.
Zainabu Telack, Mkuu wa Wilaya Sengerema nae alihudhuria mazishi ya marehemu hao.
Huyu ni mtoto wa marehemu, Kwitega Daniel.
Mwakilishi wa Mgodi wa Geita Gold Mine akitoa salamu za pole msibani.
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii