Kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz leo walipata mwaliko wa kuingia Bungeni Dodoma ambapo mastaa hawa wapo Dodoma kwa ajili ya kupiga burudani Chuo kikuu cha Dodoma.
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii