Majira ya Mchana leo imetokea ajali katika eneo la Shekilango Jijini Dar es salaam, baada ya mwendesha bodaboda akiwa na abiria wawili kwenye pikipiki moja akijaribu kulipita gari lililokuwa mbele yake lakini pikipiki ikamshinda na kuanguka, pikipiki hiyo iliyokuwa imebeba Mama na mwanae.
‘
Mtoto alianguka upande wa barabara za mabasi yaendayo haraka na kusababisha kifo cha chake .
U
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii