“Sometime unaishi sio maisha yako, unataka uishi kwa kuwaridhisha mashabiki wa girlfriend wako kwasababu ukifanya hivi watatukana, hawajui labda na wewe uliumizwa sehemu gani, kwahiyo. Sometimes inakuwa sio feelings zako, ni feelings za mashabiki wa girlfriend wako, sasa hiyo inakuwa haijakaa vizuri,” ameongeza.
“Staa ambaye asingekuwa staa ningetamani kudate naye labda Wema, wengine siwezi kuwataja ni wake za watu. Kuna mwingine siwezi kumtaja sababu ameolewa, ni staa alikuwa Miss.”
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii