Saturday, May 28, 2016

Jokate ‘amzimikia’ Barakah Da Prince

JOKATE_MWEGELO4Jokate Mwegelo ‘Kidoti’

MREMBO wa nguvu, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amefunguka kuwa katika orodha ya wasanii wa Bongo Fleva anaowakubali kwa sasa Bongo, Baraka Andrew ‘Baraka Da Prince’ ameuteka vilivyo moyo wake.
Kidoti amefunguka hayo juzikati alipokuwa akipiga stori na mwanahabari wetu ambapo alipoulizwa kuhusu msanii wa Bongo Fleva anayemkubali zaidi, Jokate alisema anamkubali kinoma Baraka Da Prince.
barakaBaraka Andrew ‘Baraka Da Prince’
“Yeah! Namkubali sana Baraka, ni mtu ambaye anafanya vizuri kwa kweli ananikosha. Mwingine ni huyu Raymond, naye nampenda,” alisema Jokate, mwanamitindo, mwigizaji na msanii wa Bongo Fleva.

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta