Wednesday, May 18, 2016

HIZI NDIZO SIFA ZINAZOMFANYA MWANAMKE KUMPENDA MWANAUME.


Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi  gani wanaweza kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae.Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapenda mweyevigezo vichache. Vifuatavyo ni vigezo 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume.

1. Kujiamini

2. Mcheshi

3. Mwenye utashi

4. Anayetoa msaada unapohitajika

5. Anaetunza siri

6. Mwenye kujithamini

7. Mwenye malengo / makini

8. Mwenye mawazo mapana

 9. Muwazi na mkweli 

10. Anayeridhika
      
11. Aliyeshupavu na jasiri

 12. Mwenye huruma

13. Anaesamehe

14. Hadhi na heshima

15. Hisia ya uadilif

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta