Maisha popote… inavutia kuona ubunifu na Teknolojia vinatuletea vitu vipyavipya Duniani… Pesa yako ndio inaamua wapi uishi, wapo wenye nazo ambao watavutiwa kuwa na maisha yao ndani ya hii gari ya kifahari !!
Ukiliangalia kwa nje ni basi la kawaida tu kama ambayo tumeona wasanii wengi wa Marekani wanayatumia kwenye safari zao.. lakini hili sio tour bus, hili ni Mjengo ambao ndani yake kuna mahitaji muhimu yote ambayo yanatakiwa yawepo kwenye nyumba ya kuishi, kwa maana nyingine hii ni nyumba inayotembea.
Unaweza kucheki nje mpaka ndani jinsi kulivyo kwenye hizi pichaz za Basi la American Eagle RV.
Gharama ya kulipata hili Basi ni Dola 219,450 ambazo zinagusa mpaka Tshs. Milioni 473.
Nimekipata na kipande vya Video, nje mpaka ndani ya Basi hiki hapa.
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii