Monday, May 23, 2016

Bifu Kali Kati ya Diamond na Clouds Media

Ni dhahiri sasa msanii wa kimataifa Diamond na brand kubwa ya radio na tv Clouds Fm, bifu la hadharani.

Hii ni kutokana na media hiyo kutopost chochote kuhusu Diamond kwa muda sasa ikiwemo hata nyimbo mpya anazokuwa anatoa. Hii ni tofauti na mpinzani wake alikiba kwan yeye huposstiwa kila mara anapokuwa na kitu kipya na kizuri kwa mashabik wake.

Mfano juzi Alikiba alipokwenda South Africa, Clouds ilipost kupia mitandao na kutuma mwakilishi aende akareport Kiba akisign na Sony

Neyo kaja Tanzania, Clouds kimyaaaa, Millard Ayo pia tofaut na tulivyozoea hutupa habari hali imekuwa tofauti, hajareport lolote kuhusiana na ujio wa Neyo wala shoo ya Diamond.

My take: Millard usipotee njia, hao wapo na wewe sasa hivi, baadaye utaondolewa kama wengime walivyowahi fanyiwa.

By Blackeye/JF

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

 

GOSSIPS Copyright © 2016 -- Template created by Mbatta