Basi Jingine la Mwendo Kasi lagongwa Jijini Dar Leo
Posted by
Unknown
Basi la mwendokasi T 123 DGW lionekanavyo baada ya kupigwa pasi na Gari ndogo yenye namba za usajili T543 CUQ , katika makutano ya Barabara ya Msimbazi na Morogoro, Jijini Dar es Salaam leo.