Kuweka simu katika mfuko wa mbele wa suruali yako unapunguza nguvu za kiume
Katika uchunguzi huu walikuwa wakiwachunguza wanaume 100 ambao walikuwa wana matatizo ya utasa, ambapo waligundua kuweka simu yako katika mfuko wa mbele wa suruali yako itapunguza uwezo wako na nguvu za kiume .
Wanaume ambao wanapendelea kuweka simu zao katika mfuko wa mbele wa jeans zao, asilimia 47 wameathirika na tabia hii.Wanasayansi wanasisitiza kwamba matatizo yote haya yanatokana na electromagnetic iliyopo katika simu.
Pia utafiti huu uligundua kwamba watu ambao wanapendelea kuweka simu zao kitandani, karibu au katika usawa wa vichwa vyao wana viwago vidogo sana vya nguvu za kiume tofauti na wale wanaoziweka simu zao mbali wakiwa wamelala.
Kwa hiyo yakupasa kuwa makini, usipendelee kuweka simu yako karibu na mwili wako ukiwa umelala.
Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii